![POSTCARD_Bent.jpg](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A732AE7000005DC-590_636x450.jpg)
Baada ya msimu mrefu wa ligi ya
uingereza, Ulimwengu wa soka sasa utakuwa kwenye mapumziko makubwa na
kutafutana Raha kwa kujinafasi zaidi , Kwa sasa ni wakati wa kiangazi
ambapo kuna hari ya moto kidogo mastaa wengi zaidi wapo katika
mapumziko.
kwa wanamichezo litakuwa jambo muafaka
kufutalia, Tumeamua kukutafutia picha za mastaa hao wanavyojirusha
kutoka Las Vegas, hadi Dubai, Ibiza (na kurejea tena Las Vegas) katika
majukumu yao ya kila siku.
DARREN BENT AKIWA (BARBADOS)
Darren Bent Alichukua muda wake kutumbua
katika sherehe za baada ya harusi zinazojulikana kama honeymoon akiwa
na Mkewe Kirsty akiwa katika pikipiki ya majini katika visiwa vya
Caribbean.
Mshambuliaji huyo wa
Aston Villa alionekana akiwa katika visiwa vya Barbados ,
wakati mkewe Kirsty akiwa na Marafiki zake , Wolves' Steven Ward na Mchumba wake ,wakiwa wamevalia
lifejackets wakiwa wanajiandaa kujimwaya mwaya.
![Driving force: Aston Villa striker Darren Bent whizzed around on a jet-ski on his Barbados honeymoon](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-0-1A7292B7000005DC-883_634x599.jpg)
Draiving fosi : Mshambuliaji wa Aston Villa Darren Bentttttttttttttttttttttttttttttt ndani ya Barbados
![Beach bodies: Bent strolled along the sand with wife Kirsty before donning lifejackets with Wolves' Steven Ward and his partner for some more fun and games in the seas (below)](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A7291AB000005DC-265_634x466.jpg)
Tazama miili ya watoto hawa ikiwa Ufukweni: Bent akiwa na Kirsty kabla
hawajavaa na Wolves' Steven Ward na mchumba wake baada ya wote kuvaa
Life Jacket Chini kabla hawajaanza kula baharini (Chini)
![Bent](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A7291E7000005DC-962_634x519.jpg)
![Shades: Ward and his partner walking along the Caribbean beach](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A729B9E000005DC-891_634x500.jpg)
Waoaaah : Ward akiwa na mwenza wake wakiwa visiwa vya caraibean wakitembea katika ufukwe wa visiwa vya Caribbean
Bent anaonekana kutaka kuhama Villa
Park wakati huu wa kiangazi , baada ya kutotumika sana katika mipango ya
kocha Paul Lambert's msimu uliopita , na Christian Benteke akionekana
kuwa chaguo la kwanza katika klabu hiyo iliyopo katikati ya jiji la
uingereza. Lambert's
ametupilia mbaili ombi la pauni milioni £8million kiwango ambacho
anaamini hakiwezi kumtoa mshambuliaji huyo wa zamani wa uingereza ,
kutoka katika klabu hiyo kwenda Newcastle, huku mshahara wake wa pauni
milioni tatu kwa mwaka ukionekana kikwazo pia.
PHIL NEVILLE NA MICHAEL CARRICK (BARBADOS)
Phil Neville Yeyey atakuwa anajimwaya mwaya zaidi baaada ya mismu uliopita kutangaza kuachana na soka kabisa .
Mchezaji huyo wa zamani wa Everton alikua akipunga jua huko Barbados
akiwa na Mkewe, na huku akiwa rafiki na yake kutoka klabu yake ya zamani ya
Manchester United Kiungo Michael Carrick.
![United front: Phil Neville (left) and Michael Carrick relaxed on the beach while they chatted](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A72897F000005DC-49_634x472.jpg)
Eeeeeeeeeeeeeh : Phil Neville (Kushoto) na Michael Carrick wakitwangaaa raha aaaaaaah Huko america
![Sealed with a kiss: Neville and his wife Julie frolicked in the Caribbean sea after his retirement from playing](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A728979000005DC-652_634x409.jpg)
Mwah Mwah Mwah: Neville na Mkewe Julie frolicked ndani ya Caribbean Baada ya kustaafu soka.
Carrick alikuwa akifanya mazungumzo na
Neville
katika viti vya kupumzikia maeneo ufukweni , Huku kiungo wa kimataifa
wa uingereza akionekana zaidi kuwaza zaidi jinsi gani atakuwa akiweza
kupasha mota zake atakapokuwa na mkufunzi mpya wa klabu hiyo ya Man u
David Moyes akiwa Mkufunzi wa Timu hiyo .Bado hajaamua kama afundishe
soka baada ya kusoma kozi zinazotambulika na chama cha soka cha FA
lakini anaweza kwenda kuatangaza pia akifuata nyayo za kaka yake Gary,
Katika Runinga za Sky Sports.
WESLEY SNEIJDER (IBIZA)
Kiungo wa Galatasaray Wesley Sneijder
alimchukua Mkewe Yolanthe kwenda kujirusha nae katika fukwe za kisiwa
cha Ibiza alipokuwa akijinafasi kabla ya kurejea katika maandalizi ya
mwanzo wa msimu ligi .
Nyota huyo wa Mholanzi alionyesha nje Michoro yake mwilini maarufu kama Tatoo Huku mkewe akiwa amemkumbatia Baharini .
![All smiles: Wesley Sneijder took his wife Yolanthe Sneijder-Cabau for a romantic walk on the beach in Ibiza](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A70DE26000005DC-710_634x627.jpg)
Furahaa : Wesley Sneijder akiwa na Mkewe Yolanthe Sneijder-Cabau huku wakiwa katika Tabasamu katika fukwe za Ibiza
![Wesley Sneijder](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A70E483000005DC-886_306x423.jpg)
![Wesley Sneijder](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/06/22/article-2346328-1A70DCF7000005DC-664_306x423.jpg)
Sneijder alihusihwa na tetesi za kutaka kuungana
na Bosi wa wa zamani katika klabu ya Chelsea kuungana na Jose
Mourinho - wawili hawa walikuwa Inter Milan mara ya mwanzo .
lakini aliamua kujiunga na vijana wa
Kituruki , ambapo pia anacheza na mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier
Drogba na wameomba kufanya mazoezi katika viunga vya.Notts County.
No comments:
Post a Comment