Difenda ya polisi ikiuchukua mwili wa marehemu...
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake.
Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
No comments:
Post a Comment