BREAKING NEWS:- CHADEMA WAKUTANA NA WANAHABARI, WASEMA VIONGOZI WOTE WAMEFUNGULIWA KESI ZA JINAI.
-
HENRY KAKAMATWA JUZI NA KUNYIMWA
DHAMANA, INADAIWA AMESAFIRISHWA KUPELEKWA IGUNGA AKIPITIA MWANZA,
TABORA AKITUHUMIWA KUMWAGIA MTU TINDI KALI.
-
MPAKA SASA WAMESHAKAMATA VIJANA ZAIDI YA 5 KUHUSIANA NA TUHUMA HIZO.
-
HINADAIWA MPAKA SASA POLISI WANAWASAKA M/KITI MBOWE, DR. SLAA, MYIKA NA TUNDU LISSU.
-
MNYIKA AMESEMA MAWAKILI WANAOTANGULIA KWENDA IGUNGA LEO NI PROF. ABDALLAH SAFARI, PETER KIMATARA NA HENRY MWANALIELA.
-
KESHO MAWAKILI WENGINE WATAONGEZEKA AMBAO NI MABERE MARANDO, NANYARO KICHEERE NA TINDU LISSU.
No comments:
Post a Comment