Sunday, June 23, 2013

MASTAA WA LIGI YA UINGEREZA WAFANYA STAREHE ZA KUFURU NJE YA ULAYA

POSTCARD_Bent.jpg


Baada ya msimu mrefu wa ligi ya uingereza, Ulimwengu wa soka sasa utakuwa kwenye mapumziko makubwa na kutafutana Raha  kwa kujinafasi zaidi , Kwa sasa ni wakati wa kiangazi ambapo kuna hari ya moto kidogo mastaa wengi zaidi wapo katika mapumziko.
kwa wanamichezo litakuwa jambo muafaka kufutalia, Tumeamua kukutafutia picha za mastaa hao wanavyojirusha kutoka  Las Vegas, hadi  Dubai, Ibiza (na kurejea tena Las Vegas) katika majukumu yao ya kila siku.
 
DARREN BENT AKIWA  (BARBADOS)
Darren Bent Alichukua muda wake kutumbua katika sherehe za baada ya harusi zinazojulikana kama  honeymoon akiwa na Mkewe Kirsty akiwa katika pikipiki ya majini  katika visiwa vya  Caribbean.
Mshambuliaji huyo wa  Aston Villa  alionekana akiwa katika visiwa vya Barbados , wakati mkewe Kirsty akiwa na Marafiki zake , Wolves' Steven Ward na Mchumba wake ,wakiwa wamevalia  lifejackets wakiwa wanajiandaa kujimwaya mwaya.
Driving force: Aston Villa striker Darren Bent whizzed around on a jet-ski on his Barbados honeymoon
Draiving fosi : Mshambuliaji wa Aston Villa  Darren Bentttttttttttttttttttttttttttttt ndani ya Barbados

Beach bodies: Bent strolled along the sand with wife Kirsty before donning lifejackets with Wolves' Steven Ward and his partner for some more fun and games in the seas (below)
Tazama miili ya watoto hawa ikiwa Ufukweni: Bent akiwa na  Kirsty kabla hawajavaa  na Wolves' Steven Ward na mchumba wake baada ya  wote kuvaa Life Jacket Chini kabla hawajaanza kula baharini  (Chini)

Bent
Shades: Ward and his partner walking along the Caribbean beach
Waoaaah : Ward akiwa na mwenza wake wakiwa visiwa vya caraibean wakitembea katika ufukwe wa visiwa vya  Caribbean 
Bent anaonekana kutaka kuhama Villa Park wakati huu wa kiangazi , baada ya kutotumika sana katika mipango ya kocha  Paul Lambert's msimu uliopita , na  Christian Benteke akionekana kuwa chaguo la kwanza katika klabu hiyo iliyopo katikati ya jiji la uingereza. Lambert's ametupilia mbaili ombi la pauni milioni  £8million kiwango ambacho anaamini hakiwezi kumtoa mshambuliaji huyo wa zamani wa uingereza , kutoka katika klabu hiyo kwenda  Newcastle, huku mshahara wake wa pauni milioni tatu kwa mwaka ukionekana kikwazo pia.
PHIL NEVILLE NA  MICHAEL CARRICK (BARBADOS)
Phil Neville Yeyey atakuwa anajimwaya mwaya zaidi baaada ya mismu uliopita kutangaza kuachana na soka kabisa .
Mchezaji huyo wa zamani wa Everton alikua akipunga jua huko  Barbados akiwa na Mkewe, na huku akiwa rafiki na  yake kutoka klabu yake ya zamani ya  Manchester United Kiungo  Michael Carrick.
United front: Phil Neville (left) and Michael Carrick relaxed on the beach while they chatted
Eeeeeeeeeeeeeh : Phil Neville (Kushoto) na  Michael Carrick  wakitwangaaa raha aaaaaaah Huko america

Sealed with a kiss: Neville and his wife Julie frolicked in the Caribbean sea after his retirement from playing
Mwah Mwah Mwah: Neville na Mkewe  Julie frolicked ndani ya Caribbean Baada ya kustaafu soka.

Carrick alikuwa akifanya mazungumzo na  Neville katika viti vya kupumzikia maeneo ufukweni  , Huku kiungo wa kimataifa wa uingereza akionekana zaidi kuwaza zaidi jinsi gani atakuwa akiweza kupasha mota zake atakapokuwa na mkufunzi mpya wa klabu hiyo ya Man u   David Moyes akiwa Mkufunzi wa Timu hiyo .Bado hajaamua kama afundishe soka baada ya kusoma kozi zinazotambulika na chama cha soka cha FA lakini anaweza  kwenda kuatangaza pia akifuata nyayo za kaka yake Gary, Katika Runinga za Sky Sports.

WESLEY SNEIJDER (IBIZA)
Kiungo wa Galatasaray Wesley Sneijder alimchukua Mkewe  Yolanthe kwenda kujirusha nae katika fukwe za kisiwa cha Ibiza alipokuwa akijinafasi kabla ya kurejea katika maandalizi ya mwanzo wa msimu ligi  .
Nyota huyo wa Mholanzi alionyesha nje Michoro yake mwilini maarufu kama Tatoo Huku mkewe akiwa amemkumbatia  Baharini .
All smiles: Wesley Sneijder took his wife Yolanthe Sneijder-Cabau for a romantic walk on the beach in Ibiza
Furahaa : Wesley Sneijder akiwa na Mkewe  Yolanthe Sneijder-Cabau huku wakiwa katika Tabasamu katika fukwe za  Ibiza

Wesley Sneijder
 Wesley Sneijder
Sneijder alihusihwa na tetesi za kutaka kuungana na Bosi wa wa zamani katika klabu ya  Chelsea kuungana na  Jose Mourinho - wawili hawa walikuwa  Inter Milan mara ya mwanzo .

lakini aliamua kujiunga na vijana wa Kituruki , ambapo pia anacheza na mchezaji wa zamani wa Chelsea  Didier Drogba na wameomba kufanya mazoezi katika viunga vya.Notts County.

NGONO KINYUME NA MAUMBILE ZAONGEZEKA TANZANIA ....WENGI WAO WANAFANYA KUONDOA MIKOSI


Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile vinazidi kuongezeka.

Hayo yalisemwa jana na Dk. William Kafura, katika mkutano wa sita wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Ukimwi (Tapac).

Alisema hiyo inatokana na imani za kishirikina kwamba wakifanya vitendo hivyo watapata bahati kwa kupandishwa vyeo.

“Lazima tukubali tatizo lipo na tulitafutie suluhisho, utafiti upo umefanywa na Muhimbili, umefanywa na chuo kikuu cha Dar es Salaam, umefanywa na Tasisi ya Utafiti ya Ifakara,”alisema.

Alisema pia wafanyabiashara wanaamini kwa kufanya vitendo hivyo watajirika wakati wanawake wanaamini kuwa watazidi kupendwa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TACAIDS, Dk. Fatuma Mrisho, alisema utafiti uliofanyika nchini unabainisha kuwa wanawake hawana uelewa wa kutosha juu ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi.

Akizungumzia suala la kujikinga na ugonjwa wa Ukimwi Dk. Mrisho alisema kuwa wanaume wana uelewa mkubwa zaidi kuhusu ugonjwa huo kuliko wanawake.Hata hivyo, alisema kwa sasa ipo kazi kubwa ya kutoa elimu kwa wananchi na hivyo kuwataka wabunge na viongozi mbalimbali kutoa elimu juu ya kujikinga na gonjwa hatari la ukimwi.

Aidha Mrisho alisema kuwa kwa sasa Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya Virusi vya ukimwi kwa asilimia 14.8 ambapo Unguja Kaskazini inamaambukizi madogo kwa asilimia 0.1.

Hata hivyo alisema kuwa kuna changamoto mbalimbali ambazo wanakumbana nazo ni pamoja na rasilimali za ukimwi kwa serikali, mashirika ya Dini na sekta binafsi kuwa pungufu kuliko mahitaji.

Alisema pamoja na kuwepo kwa changamoto lakini nia ni kufikia sifuri tatu ifikapo mwaka 2015 na hiyo hipo katika ulimwenguni, Afrika hapa hapa Tanzania.


 NIPASHE

MAANDAMANO YA AMANI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF, TAREHE 29 JUNI 2013 MPAKA IKULU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CUF
  • PROF.LIPUMBA KUONGOZA,MAANDAMANO KUPOKELEWA NA RAIS KIKWETE.

Waheshimiwa waandishi wa habari, kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya uongozi wote wa kitaifa wa Chama chetu, naomba kuchukua fursa hii kuwakaribisha Ofisi Kuu ya chama ili tupate fursa ya kuzungumza nanyi na kwa maana hiyo kuzungumza na watanzania kupia kwenu ili ujumbe uliokusudiwa na chama uweze kuwafikia wananchi popote pale walipo.

Tumewaita leo tarehe 22 Juni 2013 tukiwa na agenda moja kuu nayo ni kuwaeleza kwamba Chama cha Wananchi CUF kimeandaa Maandamano ya Amani siku ya tarehe 29 Juni 2013 maandamano ambayo yataanzia eneo la Buguruni kituo cha Mafuta saa nne kamili asubuhi, kupitia barabara ya

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAPILI JUNI 23, 2013


DSC 0018 25267
DSC 0019 578e1
DSC 0020 f5463
DSC 0021 0fc40
DSC 0022 d20cc

DSC 0023 43257
DSC 0024 04f9c
DSC 0025 89ac3
DSC 0026 1df88
DSC 0027 beca4
DSC 0028 9c555
DSC 0029 f8c0e
DSC 0030 21e63
DSC 0031 b1007
DSC 0032 1c0b5
DSC 0033 22a36
DSC 0034 f8bef
DSC 0035 d3824
DSC 0036 e040e
DSC 0037 af2d2

BREAKING NEWS:- CHADEMA WAKUTANA NA WANAHABARI, WASEMA VIONGOZI WOTE WAMEFUNGULIWA KESI ZA JINAI.

CHADEMA

  • HENRY KAKAMATWA JUZI NA KUNYIMWA DHAMANA, INADAIWA AMESAFIRISHWA  KUPELEKWA IGUNGA AKIPITIA MWANZA, TABORA AKITUHUMIWA KUMWAGIA  MTU TINDI KALI.

  • MPAKA SASA WAMESHAKAMATA VIJANA ZAIDI YA 5 KUHUSIANA NA TUHUMA HIZO.

  • HINADAIWA MPAKA SASA POLISI WANAWASAKA M/KITI MBOWE, DR. SLAA, MYIKA NA TUNDU LISSU.

  • MNYIKA AMESEMA MAWAKILI WANAOTANGULIA KWENDA IGUNGA LEO NI PROF. ABDALLAH SAFARI, PETER KIMATARA NA HENRY MWANALIELA.

  • KESHO MAWAKILI WENGINE WATAONGEZEKA AMBAO NI MABERE MARANDO, NANYARO KICHEERE NA TINDU LISSU.

"TUNAJIANDAA KUIPINDUA NCHI ENDAPO SERIKALI HAITAWASHUGHULIKIA WATU WALIOFICHA MABILIONI USWISWI"...ZITTO KABWE


Zitto  Kabwe  amefunguka  na  kudai  kuwa  kwa  sasa  wanajiandaa  kufanya  mapinduzi  ya  nchi  endapo  serikali   watu  walioficha    mabilioni  uswiswi    hawatashughulikiwa  ipasavyo....

Suala la baadhi ya Watanzania kuhifadhi mabilioni ya fedha nchini Uswisi limechukua sura mpya, baada ya tume maalumu kuwahoji vigogo 200 wakiwamo wabunge, wanasiasa na

MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA

Maajabu  ya  uumbaji  yamemfanya  mama  mzazi  wa  Xiao Wei  ambaye  ni  mchina amwage  machozi  akiomba  msaada  wa  kunusuru  maisha  ya  mwanae   mwenye  umri  wa  miezi  7 aliyezaliwa  na  matako matatu...
Kalio  la  tatu  lipo  kama  mkia  mfupi, wenye  urefu  wa   sentimita  8  ( 8 cm ), katikati  ya  makalio  mengine  mawili.
Akiongea   kwa  uchungu, mama  mzazi  wa  mtoto  huyo  amedai  kuwa  kwa  muda  mrefu  amekuwa  akiwaomba  madaktari  wafanye  upasuaji  wa  tako  hilo  lakini  wao  wamekuwa  wakimjibu   kuwa  hiyo  si  kazi  nyepesi  kama  anavyodhani....
"Tukilikata  litaota  tena, hivyo  hatutakiwi  kukurupuka  na  badala  yake  tutakiwa  kupata  muda  wa  kupitia  vitu  vingi  ukiwemo  mrija  wa  uti  wa  mgongo  ambapo  kalio  hilo  limejiegesha"...Alisema  daktari  mmoja  akimjibu  mama  huyo


Mzee Nelson Mandela ameendelea kuwa katika hali mbaya hospitalini jana baada ya kubainika kwamba gari la wagonjwa lililombeba Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini kwenda hospitali limeharibika.

Gari hilo la wagonjwa mahututi liliharibika wiki mbili zilizopita wakati Mandela alipokuwa akikimbizwa kwenye hospitali moja mjini Pretoria, na kumwacha 'njiapanda' kwa dakika 40.


Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini alihamishiwa kwenye gari jingine la wagonjwa la hospitali ya kijeshi kumalizia safari iliyobaki ya

MWIGULU NCHEMBA NA MSIGWA NUSURA WATWANGANE NGUMI BUNGENI


Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa na mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba jana nusura wachapane makonde baada ya kutupiana maneno ya kashfa, wakituhumiana kuhusika na mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi iliyopita mkoani Arusha.


Tukio hilo lilitokea katika viwanja vya Hoteli ya St Gasper nje kidogo ya mji wa Dodoma, walipokwenda kwa ajili ya kuhudhuria semina ya wabunge wapambanaji na Ukimwi, ambapo baadhi ya wabunge wa Chadema walihudhuria, baada ya

OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI HUKO DODOMA

Kuna tetesi kuwa Ommy dimpoz amepigwa mawe jukwaaani dodoma na kushindwa kufanya show ya kilimanjaro music award dodoma. 
Wadau toka  Dodoma wasema  msanii yoyote atakaye mdiss msanii wa dodoma hawatamruhusu kufanya show Dodoma  na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo  kwa  Ommy

Tunafuatilia  undani  wa  habari  hii

MBUNGE WA CCM NUSURA AMCHAPE MAKOFI MBUNGE WA CUF.....NI YULE ALIYEMFANANISHA SUGU NA MBWA BUNGENI


MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani ya Ukumbi wa Bunge.

Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki ambapo imeelezwa kuwa Nkamia mbali na kutaka kumpiga mbunge huyo, pia alimtolea matusi mazito ya nguoni..
Kwa mara ya kwanza mbunge huyo aliingia katika kashfa baada ya kutoa kauli bungeni kuwa hazungumzi na mbwa, bali anazungumza na mwenye mbwa kabla ya kuingia katika mzozo na wahariri na baraza la habari aliposema kuwa Jukwaa la Wahariri na Baraza la Habari ni NGOs za kutafuta fedha.

Uchunguzi wetu  ambao umethibitishwa na Nkamia mwenyewe umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni kutokana na kuzomewa kwa Nkamia katika kampeni za uchaguzi mdogo Kata ya Dalai Wilaya ya Chemba. 
Kwa mujibu wa wabunge mashuhuda ambao waliliona tukio hilo, ilielezwa kuwa Nkamia, ambaye pia ni mwandishi wa habari, alianza kumshushia matusi Moza wakiwa ndani ya Bunge hadi walipotoka nje alimfuata na kutaka kumpiga.
“Kweli pale jamaa yetu, alitia aibu, hata hivyo kusema kuwa alikuwa amelewa siyo kweli maana mimi namfahamu Nkamia vizuri ila ilikuwa ni hasira tu,” alisema mmoja wa wabunge walioamua ugomvi huo.
Akizungumzia tukio hilo Moza, alisema kuwa wakati akitoka nje ya ukumbi, alipita karibu na kiti anachokaa Nkamia na ghafla akaitwa, lakini akashangazwa na kitendo cha kuanza kurushiwa matusi.
“Kweli Nkamia na mimi tunatoka wilaya moja, lakini siku ile nilishangaa alinitukana matusi ya nguoni kabisa ……… (anayataja), lakini mimi kule sikusema kitu hadi nilipotoka nje alinifuata na mimi hasira ilinishika nikaanza kumjibu akatupa vitabu ili aje anipige wabunge wenzake wakamkamata,” alisema Moza.
Alisema kuwa chanzo cha matusi hayo ilikuwa ni tuhuma kwamba Nkamia alimtuhumu Moza kuwa aliandaa vijana katika Kata ya Dalai wakati wa kampeni za uchaguzi wa udiwani ili wamtukane.
“Hata hivyo, waliomwambia hivyo kwamba niliandaa vijana au nilimtukana walimdanganya kwani mimi wakati huo nilikuwa bungeni, lakini yeye ndiye aliyeniporomoshea matusi katika kampeni hizo na ushahidi wa sauti ninao,” alisisitiza Moza.
Kwa upande wake Nkamia, ambaye kabla ya kuwa mbunge alikuwa mtumishi wa Serikali katika Shirika la Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) alikiri kutokea kwa tukio hilo, lakini alikanusha kuingia bungeni akiwa amelewa kama ilivyoaminika na watu.
 
 Nkamia alitoa sababu za ugomvi huo kuwa ni kutokana na taarifa kuwa Moza aliandaa kikosi cha vijana wahuni kulishambulia gari la Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuwazomea viongozi wake akiwemo yeye.
 
“Ile ilikuwa ni hali ya kawaida kwa binadamu kupatwa na hasira unapoambiwa kitu kama hicho, lakini sina shida na mbunge Moza na wala sioni kama hilo ni tukio kubwa kiasi cha kuandikwa,” alisema Nkamia

mwananchi

Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani)

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa amefariki dunia..
Habari zinadai  kuwa , Msanii huyu alikumbwa na Malaria kali sana hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.

"WANAFIKI WANAENEZA HABARI KWAMBA LWAKATARE ATAFANYA MKUTANO WA HADHARA. HUO NI UONGO".... CHADEMA


Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari tangu jana juu ya vitu viwili ambavyo vyote vinamhusu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Ndugu Wilfred Mganyizi Lwakatare.

1. Kwamba atafanya press conference leo, (watu wale wa upande wa pili wameenda mbali hata wametaja muda eti ni saa 4 asubuhi)


2. Atakuwa kwenye mizunguko ya mikutano ya kampeni katika chaguzi ndogo za udiwani zinazoendelea katika hatua ya

BAADA YA VIFO VINGI, WASANII WAHAMASISHANA KUMRUDIA MUNGU


KUTOKANA na vifo vya mara kwa mara vya wasanii, staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema ni wakati wa wasanii kumrudia Mungu.

Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Dude alisema kwa kipindi kifupi vimetokea vifo vingi vya wasanii tena wenye umri mdogo, hivyo anawataka wasanii wabadili mfumo wao wa maisha kwa kuachana na mambo maovu, anasa za dunia kwani hawajui siku wala saa ya kufariki dunia.
 

“Wasanii tunazidi kufa, juzi tumemzika Ngwea, leo tena Kashi wasanii tunatakiwa kufanya ibada, wenye sauti za kuimba wamwimbie Mungu kwani waliotangulia hawakujua kama watakufa, binafsi nimeanza kusali tangu nilipofiwa na mama yangu,” alisema Dude.

KIJANA WA JORDAN AJILIPUA MOTO BAADA YA KUKATALIWA KUONANA NA WAZIRI


Kijana mmoja nchini Jordan ambaye siku chache zilizopita alikataliwa kuonana na Waziri wa Ustawi wa Jamii wa Jordan na kuamua kujiteketeza, amefariki dunia hii leo kwenye hospitali ya serikali  mjini Amman.

Kijana huyo yatima aitwaye Ahmad Rubain  mwenye umri wa miaka 23 ambaye siku ya Alhamisi iliyopita alitaka kuonana na Waziri wa Ustawi wa Jamii na kumuelezea matatizo na hali ngumu ya maisha inayomkabili, aliamua kujiteketeza moto mbele ya jengo la wizara hiyo baada ya juhudi zake za kutaka kuonana na waziri kugonga ukuta.
 

Msemaji wwa Hospitali ya serikali ya al Bashir mjini Amman amesema kuwa, asilimia 90 ya mwili wa kijana huyo ilikuwa imeteketea. Hili ni tukio la tano la kujichoma moto  katika kipindi cha miaka miwili nchini humo. 
 

Ni miaka miwili na nusu sasa Jordan inakabiliwa na wimbi kubwa la maandamano ya wananchi wanaotaka yafanyike marekebisho ya kisiasa, kiuchumi na mapambano dhidi ya ufisadi nchini humo.

---
Waviti via Radio Tehran

WABUNGE WA KENYA WASALIMU AMRI BAADA YA WANANCHI KUENDELEA KUANDAMANA WAKIPINGA MISHAHARA YAO

Wabunge wa Kenya wamesalimu amri ya madai yao ya kuongezewa mshahara waliyokuwa wameshayapigia kura  na kujiwekea  posho kubwa zikiwemo gari za kifahari na mafao ya kustaafu, liliripoti shirika la habari la AFP siku ya Jumatano (tarehe 12 Juni).

Mwezi uliopita, wabunge wa Kenya walijipigia kura ya kupandisha mishahara yao, na kupindua makato yaliyokuwa yameamriwa na Kamisheni ya taifa ya Mishahara na Ujira (SRC).

Walipiga kura hiyo kupuuza amri za SRC na kukaidi maombi ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba wawe na

uvumilivu, na kuongeza mshahara wao wa

VANESSA MDEE WA CHOICE FM ALIVAA GAZETI LA BAABKUBWA BAADA YA KUMWANIKA AKIWA NA OMMY DIMPOZ

Mtangazaji wa Choice Fm, mwanamuziki, balozi wa vijana Tanzania, ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Gazeti la Babukubwa kuweka picha tofauti na walizokubaliana kwenye ukurasa wa mbele ambao ndio ukurasa wa mauzo wa gazeti (front page)
Akizungumza na XXL vanessa amesema, picha iliyowekwa katika ukurasa wa mbele, sio picha iliyotakiwa kuwepo hapo, walipiga picha nyingi sana wakati wa session ya photo shoot, na kukubaliana picha zinazofaa kutoka lakini matokeo yake wametoa tofauti na makubaliano.

"Tulikuwa tumeshachagua picha za front page na zile zitakazotokea ndani, za front page zilikuwa na version mbili na hakuna hata moja waliyoitoa, hata ukiangalia the headline, Ommy dimpoz ampata Vanessa, ukisoma tu unaelewa nini? ingawa story ni tofauti ndani lakini wangapi wanaliona gazeti na wananua kusoma kilichoandikwa ndani? aliuliza Vanessa. 
"It is so disrespectful, wanaharibu reputation, because my brand doesn't stand for that, wanaweza kukukosesha opportunities in the future."

MUME WA MTU ANASWA GEST AKIWA NA SHOGA WAKIFANYA UCHAFU WAO


Tukio hilo lililoshuhudiwa na watu kibao, lilijiri Juni 10, mwaka huu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Kinondoni jijini Dar.


Kunaswa kwa wanaume hao ambao ilidaiwa walikuwa kwenye harakati za kufanya Usodoma na Ugomora, kulifuatia mke wa mmoja wao kunasa meseji za kimapenzi walizokuwa wakitumiana wawili hao.
 

Mama huyo alipobaini meseji hizo chafu, wawili hao wakisisitiziana kukutana kwenye gesti hiyo usiku wa siku hiyo, alimpigia simu mmoja wa waandishi na  kumpa  mkasa  mzima ambapo  walikubaliana  saa  moja  zoezi  la  kuwanasa  litaanza..

Ilipofika saa 1:30 usiku, timu yetu, mama huyo, wapambe wake na polisi walikuwa wanafanya doria nje ya gesti hiyo.



Saa 5:30 usiku, mume wa mwanamke huyo akiwa na mwanaume anayedaiwa kuwa shoga walifika gesti hiyo bila kujua kama waliwekewa mtego wa kunaswa na kwenda kuchukua chumba namba 2.
 Wakiwa ndani, mke alimpigia simu mumewe na kuhoji alipokuwa akajibiwa alikuwa mitaa ya nyumbani kwao Manseze, Dar akipiga stori na

RAIS JACOB ZUMA ASEMA KUWA AFYA YA NELSON MANDELA YAANZA KUIMARIKA

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa afya ya rais wa zamani wa taifa hilo Nelson Mandela imeanza kuimarika kidogo kutokana na matibabu anayopewa na Madaktari wake jijini Pretoria.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela kulia na rais wa sasa Jacob Zuma

Zuma amewaambia wabunge kuwa Mandela anayefahamika kwa jina maarufu kama Madiba ameanza kuimarika na ni habari njema kwa